The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Nimerudi tena kuziangalia hizi picha mara ya pili.Hizi bei ni kulingana na soko la EUrope kodi zina tofautiana nchi na nchi, lakini jua itacheza hayo maeneo
Mate 40 kama 2,474,353.08
mate 40Pro kama 3,297,826.71
Mate 40 Pro+ kama3,847,415.80
Mate 40 RS porsche design kama 6,320,754.52
Just imagine ingekua na playstoreNa hyo ndio shida...unatoa million 2+ unaanza kuflash gaps kama unaflash custom rom...haijakaa sawa
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ndio wangeua kabisa...mana android user wengi wantumia sana services za googleJust imagine ingekua na playstore
Mkuu em nambie, bwana mim ninatenga hela kwa kasi ili ninunue latest ya huawei mojawapo...na sitahitaji google servc, ni kadhaa ipi acha hiyo ntapata, nimeshasoma review kibao bado za wabongo tuNdio wangeua kabisa...mana android user wengi wantumia sana services za google
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Sjajua upande wa updates sasa itakuaje..mana hawajsema kama itakua upgradable kwenda android 11 au laMkuu em nambie, bwana mim ninatenga hela kwa kasi ili ninunue latest ya huawei mojawapo...na sitahitaji google servc, ni kadhaa ipi acha hiyo ntapata, nimeshasoma review kibao bado za wabongo tu
Updates wanatoa kama kawaidaSjajua upande wa updates sasa itakuaje..mana hawajsema kama itakua upgradable kwenda android 11 au la
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Bado halipo wazi hilo...endelea kufuatiliaUpdates wanatoa kama kawaida
hii ilikuwa ni hatari,Naona kwasababu ya ban wameona wasiijaze vitu kama 120hz refresh rate hakuna kwa models zote sema products zimesimama.Yaani Battle la SAmsung vs Huawei lingekuwa tamu sana.Nimerudi tena kuziangalia hizi picha mara ya pili.
Halooo ni shida.
Imagine ingekua na playstore!
Mkuu mimi sijaongelea ubora wa picha,nimeongelea namna ya design ya camera zilivyokaaUmeona matokeo ya picha kwa camera hizo unazozinanga?
Hivi 2025 kutakua na simu mpya kweli?Sema kampuni za china zinatoa products mzuri kama ile Xiaomi M10T pro ziko bomba,sema huwa huawei wako vizu
Hahaha zitakuwepo tu mkuu,hizi ni biashara,sema series nyingi za sasa hivi zinaweza kustopisha,unaweza ukakuta Note au Mate hazizalishwi tena au zimepewa majina mengineHivi 2025 kutakua na simu mpya kweli?
Naona kama imeshafika mwisho wa tech
Ni kama vile LG walitangaza kuwa hakutakuwa G series wataanza kutumia majina ya kawaida kama LG VELVET au tetesi za kuziunganisha Galaxy Note series na S series zinaweza kutimia.Hahaha zitakuwepo tu mkuu,hizi ni biashara,sema series nyingi za sasa hivi zinaweza kustopisha,unaweza ukakuta Note au Mate hazizalishwi tena au zimepewa majina mengine
Ni lazima utumie gms? Mazoea yamefanya uone huweziHuawei wana simu kali sana sema tatizo kukosa Google play store, hii ni hasara kubwa.
Simu zina camera kali, display kali, design kali ila tatizo ukosefu wa GMS ni setback kubwa sana.
China waombe Trump ashindwe uchaguzi waruhusiwe kutumia Google Mobile Services.
Vitu anavyovitoa Huawei leo Apple anavitoa baada ya miaka 3 halafu anawapiga kondoo wake bai mbaya sana.
Napenda sana simu za Huawei tatizo ni ukosefu wa GMS