Huawei Mate 40 Series 💥

Huawei Mate 40 Series 💥

Hizi bei ni kulingana na soko la EUrope kodi zina tofautiana nchi na nchi, lakini jua itacheza hayo maeneo
Mate 40 kama 2,474,353.08
gsmarena_001.jpg

mate 40Pro kama 3,297,826.71
huawei-mate-40-pro-img-3.jpg

Mate 40 Pro+ kama3,847,415.80
Ek7tkEgVkAE6c47.0.jpg

Mate 40 RS porsche design kama 6,320,754.52
Porsche-Design-Huawei-Mate-40-RS.jpg
Nimerudi tena kuziangalia hizi picha mara ya pili.
Halooo ni shida.

Imagine ingekua na playstore!
 
Ndio wangeua kabisa...mana android user wengi wantumia sana services za google

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mkuu em nambie, bwana mim ninatenga hela kwa kasi ili ninunue latest ya huawei mojawapo...na sitahitaji google servc, ni kadhaa ipi acha hiyo ntapata, nimeshasoma review kibao bado za wabongo tu
 
Mkuu em nambie, bwana mim ninatenga hela kwa kasi ili ninunue latest ya huawei mojawapo...na sitahitaji google servc, ni kadhaa ipi acha hiyo ntapata, nimeshasoma review kibao bado za wabongo tu
Sjajua upande wa updates sasa itakuaje..mana hawajsema kama itakua upgradable kwenda android 11 au la

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Nimerudi tena kuziangalia hizi picha mara ya pili.
Halooo ni shida.

Imagine ingekua na playstore!
hii ilikuwa ni hatari,Naona kwasababu ya ban wameona wasiijaze vitu kama 120hz refresh rate hakuna kwa models zote sema products zimesimama.Yaani Battle la SAmsung vs Huawei lingekuwa tamu sana.

Sema kampuni za china zinatoa products mzuri kama ile Xiaomi M10T pro ziko bomba,sema huwa huawei wako vizuri
 
Hahaha zitakuwepo tu mkuu,hizi ni biashara,sema series nyingi za sasa hivi zinaweza kustopisha,unaweza ukakuta Note au Mate hazizalishwi tena au zimepewa majina mengine
Ni kama vile LG walitangaza kuwa hakutakuwa G series wataanza kutumia majina ya kawaida kama LG VELVET au tetesi za kuziunganisha Galaxy Note series na S series zinaweza kutimia.
 
Huawei wana simu kali sana sema tatizo kukosa Google play store, hii ni hasara kubwa.

Simu zina camera kali, display kali, design kali ila tatizo ukosefu wa GMS ni setback kubwa sana.

China waombe Trump ashindwe uchaguzi waruhusiwe kutumia Google Mobile Services.

Vitu anavyovitoa Huawei leo Apple anavitoa baada ya miaka 3 halafu anawapiga kondoo wake bai mbaya sana.

Napenda sana simu za Huawei tatizo ni ukosefu wa GMS
 
Ni lazima utumie gms? Mazoea yamefanya uone huwezi
 
Back
Top Bottom