Huba series inayorushwa Maisha Magic Bongo imepunguza mvuto kwa kutengeneza story zisizo na uhalisia katika mazingira ya kawaida

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
6,585
Reaction score
10,363
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za haoa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,

Kuna hiI Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana mashabiki wanaopenda kuangalia tamthilia za bongo, ila siku za hivi karibuni imepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya story zisizo na uhalisia katika maisha ya kawaida ambazo wanazitengeneza lengo ikiwa ni kuvuta muda series izidi kuonekana ndefu.

Kwanza kitu kinachonshangaza kule ndani kutokana na story yao, kila mtu amesha date na kila mtu kule ndani

Mfano
Kibibi, ameshatoka na Davy,Chidi na Fabrizo
Tima, ameshatoka na Davy, June na Jay B
Nelly,ameshatoka na Davy, Jay B na jamaa mmoja mwarabu
Happy, ameshatoka na Chidi na JB
Nikole, ameshatoka na Kashaulo, Davy, Jude na Jb
Tesa, ameshatoka na Kashaulo na Roy (ambae ni mwanaye)
Monica, ashatoka na Fabrizo
Sidi, ameshatoka na Kashaulo na JB

Sasa kutokana na huu muingiliano wa hawa watu, series inakosa muelekeo na mvuto kabisa
 
Kwa namna ambavyo tamthilia za Bongo zinatia kichefu chefu ninapaswa kuingia rasmi kwenye Tasnia au ikibidi waje niwauzie story naamini watauza hadi wachanganyikiwe!

Tatizo wasanii wa kibongo story wanazoigiza zimepitwa na wakati!
 
  • Thanks
Reactions: K11
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za haoa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,

Kuna hiI Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana mashabiki wanaopenda kuangalia tamthilia za bongo, ila siku za hivi karibuni imepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya story zisizo na uhalisia katika maisha ya kawaida ambazo wanazitengeneza lengo ikiwa ni kuvuta muda series izidi kuonekana ndefu.

Kwanza kitu kinachonshangaza kule ndani kutokana na story yao, kila mtu amesha date na kila mtu kule ndani

Mfano
Kibibi, ameshatoka na Davy,Chidi na Fabrizo
Tima, ameshatoka na Davy, June na Jay B
Nelly,ameshatoka na Davy, Jay B na jamaa mmoja mwarabu
Happy, ameshatoka na Chidi na JB
Nikole, ameshatoka na Kashaulo, Davy, Jude na Jb
Tesa, ameshatoka na Kashaulo na Roy (ambae ni mwanaye)
Monica, ashatoka na Fabrizo
Sidi, ameshatoka na Kashaulo na JB

Sasa kutokana na huu muingiliano wa hawa watu, series inakosa muelekeo na mvuto kabisa
Ngoja nikupe

Sasa kutokana na huu muingiliano wa hawa watu, series inakosa muelekeo na mvuto kabi

Ngoja Leo nikupe ukweli kuhusu hiyo tamthilia ya huba Kwa nini inaruka Kwa kipindi kirefu DSTV iko hivi hizi tamthilia ni za watu ndani ya DSTV AZIZ Yuko kama kivuli ndio maana wanaipa mikataba kila mwaka hizo hela wanachukua watu ndani DSTV baadhi ya wahusika wamesimamishwa kazi Babla na onesmo hawa ni walikuwa mabosi yaani iwe tamthilia au filamu ya Kiswahili ukiona inaonekana DSTV hawa ndo final say nahisi huu ndo mwaka wa mwisho hutaiona tena waliokuwa wanaitetea wamesimamishwa kazi Kwa kashfa hiyohiyo ya kupitisha kazi DSTV Kwa manufaa yao Na sio hiyo Tu hadi Ile tamthilia ya lamata nayo ilikuwa yao....bro kuna mauchafu mengi huko DSTV ukiadithiwa unaeza ukaogopa wakenya wanavyosumbua producers wa tz
 
Back
Top Bottom