Hubby Asprin I love you today, tomorrow and always

kila nikiangalia roho yaniuma kipenzi changu sikuoni huyu mzee anatamba tu
mic u
Nimekumiss mpenzi, majukumu yananibana baba. Nikirudi nawe utatamba tu.
 
Ashindwe na alegee aki
Hahahahaaaaaaa

Si unaona sasa! ananesanesa kama anapepesa macho kuona hilo biti linatokea wapi[emoji2] [emoji2] [emoji2] anashuka sasa mdogo mdogo anashuka
 
kuna ka wivu flani ivi bwanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…