Hubby Asprin I love you today, tomorrow and always

Wacha weee, maneno hayo [emoji4]
 

 
swaumu Kali Hadi Nashidwa Kusoma Post
 
Hivi haya mapenzi humu Jf ni ya kweli? Watu wanagegedana kweli humu ndani?
 
Mimi Naomba Tu kuuliza je mnafahamiana?au ndo chit chat?Nasema hivi kwasababu ilishanitokeaga humu JF jina nalieka kapuni,anavooandika,slaign zake nkajua yeees huyu atakuwa hot Sana na very chick,siku nimeenda kuonana nae ebwana sikuamini namacho Yang,Kwan alikuwa mzeee(mbibi)ilinibidi nivunge nikazima nasimu mazima,anyway big up aspirin
 
Hatuna under 20 humu
 

Siwezi badili ID ikawa aspirin? wivu jamani umenishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…