Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
?????? seen or felt?Love is seen not heared
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
?????? seen or felt?Love is seen not heared
Mpaka nimesahau na idadi yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema sio washika mapembe mabeb zangu weweHivi wewe una washika pembe wangapi?
Wacha weee, maneno hayo [emoji4]To my hubby Asprin, I thank God for your life You are a special person in my life. It has been a long journey but where we are heading is much far ahead.
I love you for being you. Please don’t change a bit in your character because everything you have and the person you are is what I fell in love with.
HAPPY SUNDAY Asprin
Love wife Sky Eclat
Mm kuna mtu mwingine akiniambia ananipenda natamani hata nijue maana kuna Dada mzuri alinipendaga arusha alikuwa anafanya kazi ngurudoto alikuwa ananiletea mazawadi ya whisky na pombe za kila aina mpaka navyo kuambia Leo hii kaniacha mlevi mbwa nisiye na maendeleo wakati kijana wa watu ckuwa hata najua pombe kwa hiyo hata huyo Aspirini cjui panado hata cmuonei wivu wacha apendwe tu tatizo c kupendwa huyo mtu anaye kupenda ndo balaaa ata acha janga la kula na wakwao
[emoji23] [emoji23]
Wewe ya kwako lini [emoji23][emoji23][emoji23]Lets celebrate love jamani
Hongereni
Unamtafuta huyo dada au[emoji23][emoji23][emoji23]
swaumu Kali Hadi Nashidwa Kusoma PostTo my hubby Asprin, I thank God for your life You are a special person in my life. It has been a long journey but where we are heading is much far ahead.
I love you for being you. Please don’t change a bit in your character because everything you have and the person you are is what I fell in love with.
HAPPY SUNDAY Asprin
Love wife Sky Eclat
Unamtafuta huyo dada au[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nachekeleaa
Hatuna under 20 humuMimi Naomba Tu kuuliza je mnafahamiana?au ndo chit chat?Nasema hivi kwasababu ilishanitokeaga humu JF jina nalieka kapuni,anavooandika,slaign zake nkajua yeees huyu atakuwa hot Sana na very chick,siku nimeenda kuonana nae ebwana sikuamini namacho Yang,Kwan alikuwa mzeee(mbibi)ilinibidi nivunge nikazima nasimu mazima,anyway big up aspirin
To my hubby Asprin, I thank God for your life You are a special person in my life. It has been a long journey but where we are heading is much far ahead.
I love you for being you. Please don’t change a bit in your character because everything you have and the person you are is what I fell in love with.
HAPPY SUNDAY Asprin
Love wife Sky Eclat
Yapo baadhi ni serious, mengine ni kama kupanda daladala na mengi ni chitchatHivi haya mapenzi humu Jf ni ya kweli? Watu wanagegedana kweli humu ndani?