Nakuambia mimi mwenyewe imebidi nimuambie ndio akanifungulia.
Si aweke open tu anafunga ya nini? Kwasasa ndio anaanza hatakiwi kufunga labda baada ya kupata followers wengi halafu akiwa na ugomvi na watu ndio afunge.
Poa nimekusoma
Kuna boya lazima an'goe,hapana chezea mapedejee.
huyo demu kapinda balaa, ni mchafu kupindukia but ni cute
Duh!
na wenzake
sijapenda hii tabia yako bora utunyime msosi sio umbea...Hivi unakumbuka kipindi kile alichokujaga alivyoletwa na director Joan?Ha ha ha ha alichofuata siri yangu.
sijapenda hii tabia yako bora utunyime msosi sio umbea...