Hudah Boss Chick: Yes, nitakuwepo Zari All White Party

Hudah Boss Chick: Yes, nitakuwepo Zari All White Party

Nakuambia mimi mwenyewe imebidi nimuambie ndio akanifungulia.
Si aweke open tu anafunga ya nini? Kwasasa ndio anaanza hatakiwi kufunga labda baada ya kupata followers wengi halafu akiwa na ugomvi na watu ndio afunge.

Poa nimekusoma
 
Nakuambia mimi mwenyewe imebidi nimuambie ndio akanifungulia.
Si aweke open tu anafunga ya nini? Kwasasa ndio anaanza hatakiwi kufunga labda baada ya kupata followers wengi halafu akiwa na ugomvi na watu ndio afunge.

Kweli kabisaaa aiweke wazii
 
Na wenzake
10417708_485743071567053_6900048155866120216_n.jpg
attachment.php

11001886_502238559917504_1478151322344665537_n.jpg
11096561_523634854444541_7550350603291038346_n.jpg
10968459_493394440801916_3352977825104386751_n.jpg
10492205_493368700804490_8977340317685669618_n.jpg
attachment.php
 

Attachments

  • 11046877_527222060752487_7424025937394730256_n.jpg
    11046877_527222060752487_7424025937394730256_n.jpg
    107.1 KB · Views: 330
  • 11056894_509942435813783_5561367153768819696_n.jpg
    11056894_509942435813783_5561367153768819696_n.jpg
    43.4 KB · Views: 476
Ni mrembo haswa, na hilo tako anasumbua nalo...na lingekuwa kama la Vera Sidika sijui ingekuwaje. I used to think she was confident but tangu ameenda kuongeza maziwa nimemuona amepoteza haki zote za kuwasema wanawake wanaojichubua au walio na makalio fake.
Hivi huwa anajishughulisha na kazi gani? Ametajirika haraka. Najua ana cloth line but sidhani kama it is that lucrative?:confused2:
 
Huyu Huddah,vera sidika,zari na chagga barbie.....NI wazuri wana cash na wana majina makubwa mno kwenye mitandao....naamini kipato chao kikubwa kinachangiwa na hayo mawili....ila huyu huddah ananiachaga hoi
 
Nyie wanawake mnapenda kunyanyapaliwa sana huyo hudda anajiita the boss chick HahahaHahaha!

Anajua hilo jina chick limeanzaje cause ni swag ya marekani ku categorize dem ambaye yupo for some shows tu sio permanently.
 
Huddah chenga aliandika IG hata km anagawa mbunye niyeye haimuhusu mtu kama ni rahisi ajaribu mtu nayeye aone
 
yani huddah namzimika sana na vituko vyake
 
Back
Top Bottom