Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Mara baada ya Zarina mwana wa Hassan kupost ujumbe wenye utata kuhusu watu wanaomnyatia nyatia poozo lake la moyo Chibu dangote ambao ujumbe huo kwa namna nyingine ulionekana kumgusa Huddah Monroe kwa kuwa Huddah ana tabia hizo za kunyatia wapenzi wa wanawake wenzake

Huddah naye hakutaka hili lipite hivi hivi aliamua kumkashifu Zari kwa kuandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa yeye hana muda wa kugombana na watu ambao wana umri sawa na mama yake kwenye mitandao ya kijamii, bali yeye yupo busy na biashara zake zinazomuingizia kipato

 
Hudah amesahau kua na yeye anakua ,btw i wish zari atulie tuliii tho nahis pia huddah anajishtukia maana zari alituma ujumbe ambao hata mm personaly niliuelewa kua jaman tusiwape vile vitu gud gud tunavyoaga private kama hamtuonesh kwa uwazi sas hapo kuna shida gan jamanii loo
U celebrity kazi jamanii
 
Haya ndio unayoyaweza sasa
 
Kwani kuna aliyeolewa kati yao hadi watu waanze kuegemea upande fulani licha ya hilo jambo kutowahusu kabisaaaa !!!!!!.........

By the way huu ubosslady wa nchi zetu ni ukahaba ama !!!!.......

Wanawake wanadai haki sawa lakini wao wenyewe hawajitendei haki...
 
Hawa mademu huwa wananishangaza sehemu moja tu... anyway, hata baadhi ya wanaume nao!! Unakuta eti mtu anamponda mtu mwingine kwa kigezo cha umri!!! Hivi si sawa na msichana mdogo kumcheka mwanamke mkubwa kwamba ana matiti yaliyolala wakati hata yeye mwenyewe yupo njiani kuwa na matiti yaliyolala!!!!

Halafu ningekuwa demu ningemuonea wivu sana Zari... manake baada ya kumkashifu kwa kigezo cha umri, ningeanza kujiuliza hivi nikishafika umri wa Zari bado nitakuwa na Zari's present look au ndo itakuwa basi tena!!! Bora nikashifu tumbo la Le Mutuz kv ni jambo lililo ndani ya uwezo wangu lakini nikashifu umri wake wakati nafahamu ikiwa Mwenyezi Mungu atanijaalia nami lazima nigonge uzee!!
 
zari ana madharau sana ,sikuwa namfuatilia zari au wema ila huyu dada ana madharau sana ndo maana hata mama diamond kamshindwa. birthday za watu watandale hata kuwawish hakuna .kapigwa stop madale chezea mama mond wewe
hahahaa apigwe stop madale kwenye mbu kibao wakati mtu anakalia villa za kufa mtu south.
wabongo mnachekesha sana kujipa moyo na njaa zenu,kwa hapo zari alifuata ukuni tu,huyo mama nae ni mendekeza njaa sana,km anaweza kuzuia mwanae asimsaidie babaake atakubali kuona demu mtu anatake over resources.
 
Zari nae Mtu mzima hovyoooooo....
Hivi kwa uzee ule abishane na wajukuu zake kweli,bwana huyo bwana gani?Huyo daimond ?

Kama anapendwa sana si aolewa!
Sijui ni mama wa aina gani yule,asiyejielewa aisee!
Hivi watoto wakikua watajiskiaje kuyaona mauchafu ya mama yao!
Mungu ninusuru Mimi na wadogo zangu tusiwe aina ya mama kama zari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…