kamanda wa makamanda
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 629
- 492
mnachoshindwa kumuelewa zari ni mtu anaefuatilia mambo yake....sasa nyinyi waswahili mnatakaga mazoea ya nzi na choozari ana madharau sana ,sikuwa namfuatilia zari au wema ila huyu dada ana madharau sana ndo maana hata mama diamond kamshindwa. birthday za watu watandale hata kuwawish hakuna .kapigwa stop madale chezea mama mond wewe