Hudah Monroe na Zarina watunishiana misuli kisa Diamond

zari ana madharau sana ,sikuwa namfuatilia zari au wema ila huyu dada ana madharau sana ndo maana hata mama diamond kamshindwa. birthday za watu watandale hata kuwawish hakuna .kapigwa stop madale chezea mama mond wewe
mnachoshindwa kumuelewa zari ni mtu anaefuatilia mambo yake....sasa nyinyi waswahili mnatakaga mazoea ya nzi na choo
 
Huddah anamuonea wivu zari, zari hajampita umri tu, hata mafanikio huddah hampati zari hata robo, kwa kuwa wote ni wauza K lakin mwenzao kalamba karata dume [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kama anauza hiyo uliyotaja basi anapatia "Right Customers ". Siyo kwa hasara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…