Hudama za ISP tanzania kama Umeweka server yako mwenyewe tanzania ukiunganisha nao.

Hudama za ISP tanzania kama Umeweka server yako mwenyewe tanzania ukiunganisha nao.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii.

Server zangu nyumbani kwenye mfumo wa internet imeharibu biashara zangu kupitia API nilizounganisha kwa wanaofahamu alafu unaombwa msamahaa kwa usumbufu wao.
 
Back
Top Bottom