Huddah asema anamsubiria kwa hamu Raymond wa WCB

Huddah asema anamsubiria kwa hamu Raymond wa WCB

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Socialite wa kenya Hudda Monroe amesema anamsubiria kwa hamu Raymond wa WCB akipata hela, hiyo ni baada ya Raymond kupost picha mtandaoni kuuliza mashabiki ni nini kinachomsibu?
 
Amsubiri tu wadada wa bongo wazembe sana kukamatia fursa wana bana vizazi vyao wee mpaka mayai yanakua viza ngoja waganda wamchukue harmonise wolper aanze kulia wakisha chukuliwa ndio wanaanza ku compete mda huo wenzao washafanyiwa vya maana na mijengo ya haja kama zari
 
Tatizo wanaamini wakizaa wataharibu ujana.
 
Kwaiyo anamsubiri awe na hela ili ijiweke wadada wanapenda mteremko
 
ama kweli mjini mipango.kwa hiyo anaudhihirisha uma kuwa anauza eeeh
 
Back
Top Bottom