Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Tatizo wanaamini wakizaa wataharibu ujana.Amsubiri tu wadada wa bongo wazembe sana kukamatia fursa wana bana vizazi vyao wee mpaka mayai yanakua viza ngoja waganda wamchukue harmonise wolper aanze kulia wakisha chukuliwa ndio wanaanza ku compete mda huo wenzao washafanyiwa vya maana na mijengo ya haja kama zari
97% ya wanawake wanauza,tofauti ni sehemu wanapojiuzia.ama kweli mjini mipango.kwa hiyo anaudhihirisha uma kuwa anauza eeeh