Huddah Monroe: I Will Marry President Jonathan

Huddah Monroe: I Will Marry President Jonathan

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
1290499_ha_png2d2bc1dbdbb674304cd1997e7f75ffb1

1290500_ha1_jpg87f916dbfc6ab1efafa5f6b14b04faab
 
Huyu sio ajabu ukasikia I will marry my father soon.....................!ukisikia chizi kalogwa tena ndiyo hiyo.
 
Ila kazuri, kuhusu suala la kuwa first lady asahau
 
Huyu nae kapuyanga huko koote hadi na kina prezo sahizi anaanza kuwaza mpaka raisi wa Naija....hivi anawajua vizuri wa Nigeria kwa urogi....atavuja mpaka anakufa huyu....
 
"no matter where you come from..your dreams are valid"..huwezi jua mbona mkulu wa comoro anamega kitu tena cha bongo sinema hapa tzz...
 
Wasanii wetu wanajifanya wamepinda..ila huyu mdada ni mwisho
 
ha ha ha ha uwezo mdogo wa kujua mambo!! sasa hujui hata .gudluck jonathan ni rais wa wap??ntajie jina la rais wa somalia?ole wako ushindwe?

Maraisi wengi mno wa Somalia kwa sura namfaham jina sasa
 
jamani mwenye historia fupi ya huddah.. naomba nipate kidogo!

usijali kiongozi historia ya hudah ni fupi sana kiufupi ni moja kati ya wasichana waliokuwa na beef na yule dada wa clouds kisa prezo hukitaka info zaid muulize diva!
 
huda ni muislamu, si ndio?

hapana dini yake ni christian na ni moja kati ya wadada wenye jiwe mbaya kutokana na biashara anazo run nairobi kenya na kwa taarifa ni moja ya kati ya boss lady wakwanza east africa kununua gari aina ya fellari kwa ajili ya kuendea sokoni nairobi!
 
mkuu nimetafuta history yake nimeikosa.. kifupi tu wanasema ni half kuyu and somali, mara islamic mara christian..

btw, biashara anayofanya mkuu siielewi hasa!
 
Back
Top Bottom