Huddah Monroe: Sinuki sehemu za siri, sivai nguo za ndani

Sababu siyo kutonuka, bali huyo ni wa chapu chapu. Ukikutananaye, anapandisha tu huo wavu (maana siyo nguo) mtu anajisevia.

Halafu jamaa anaona kapaaaaata!!! Mwambieni Jux kuwa huo ni mtihani.[emoji848][emoji15][emoji3525]
 
Si mtihani ni changamoto..[emoji23]
 
Naona yuko na hater wa mke mwenza, Dunia tamu hii lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wenye majina ya Juma wanakuwaga hivyo 😄😄😄 wala usishangae.
 
Huwa tunaanika samaki wenye harufu kali ili waweze kukauka na harufu kupepewa na upepo
 
Sababu siyo kutonuka, bali huyo ni wa chapu chapu. Ukikutananaye, anapandisha tu huo wavu (maana siyo nguo) mtu anajisevia.

Halafu jamaa anaona kapaaaaata!!! Mwambieni Jux kuwa huo ni mtihani.[emoji848][emoji15][emoji3525]
Chapu chapu?? Hahaha nina uhakika hata kukusalimia hatakusalimia, jipe moyo tuu
 
Mmh! Kwani ni wapenzi kweli hawa? Nahisi ni makiki yao kama kawaida ya mastaa wa bongo ila kama ni kweli wana mahusiano bas Jux kazingua, toka Vanessa hadi Huddah ni gape moja kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…