Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,111
Habari wana-jukwaa?
Kumekua na ongezeko kubwa la mabenk ktk kipindi cha karibuni. Kila mteja amevutiwa na baadhi ya huduma na kuamua kujiunga na bank inayomuhudumia.
Binafsi naipenda CRDB kutokana na huduma zake kupatikana kwa haraka, (wahudumu wa kutosha) bila matatizo ya kupotea kwa network mara kwa mara na ATM zake hazina matatizo ya mara kwa mara kama baadhi ya bank.
Napenda pia huduma yao ya e-statement ambayo wananitumia taarifa za account yangu ktk email kila mwezi hivyo kujua matumizi ya fedha zangu (inayoingia na inayotoka + tozo).
Nyinyi kipi kinawavutia huko mlipo?