Huduma gani inakuvutia ktk Bank inayokuhudumia?

Huduma gani inakuvutia ktk Bank inayokuhudumia?

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,782
Reaction score
4,111
Habari wana-jukwaa?

Kumekua na ongezeko kubwa la mabenk ktk kipindi cha karibuni. Kila mteja amevutiwa na baadhi ya huduma na kuamua kujiunga na bank inayomuhudumia.

Binafsi naipenda CRDB kutokana na huduma zake kupatikana kwa haraka, (wahudumu wa kutosha) bila matatizo ya kupotea kwa network mara kwa mara na ATM zake hazina matatizo ya mara kwa mara kama baadhi ya bank.

Napenda pia huduma yao ya e-statement ambayo wananitumia taarifa za account yangu ktk email kila mwezi hivyo kujua matumizi ya fedha zangu (inayoingia na inayotoka + tozo).

Nyinyi kipi kinawavutia huko mlipo?
 
Mie nafurahia kale kahuduma kapya ka crdb...kanaitwa salary advance....haki ya nani....ni moja ya huduma bora sana kwangu katika huduma za kibenki....mie nairenki namba 1 kwa mwaka 2018.

Sasahv nikiwa na shida ya milion hata siwaz..nabofya tu in 2 minutes...nimejaaaa
 
Pre paid card it is the best to use..tatizo hii huduma watanzania wengi hawajaichagua sijui ni kutoijua au uoga kuhisi ina makato sana tho haina makato kivile
 
Mie nafurahia kale kahuduma kapya ka crdb...kanaitwa salary advance....haki ya nani....ni moja ya huduma bora sana kwangu katika huduma za kibenki....mie nairenki namba 1 kwa mwaka 2018.

Sasahv nikiwa na shida ya milion hata siwaz..nabofya tu in 2 minutes...nimejaaaa
Mkuu naomba ufafanuzi wa hizo huduma.
 
Kuweka akiba mara kwa mara na kukopa na kurudisha kwa wakati!! Ni kama bank tu!!
Nilikua nakopa na kulipa kwa wakati bila kuweka akiba, naona dau halipandi.
Ntaanza kuweka akiba sasa.

Wewe unakopa mpaka kiasi gani kwasasa?
 
Mie nafurahia kale kahuduma kapya ka crdb...kanaitwa salary advance....haki ya nani....ni moja ya huduma bora sana kwangu katika huduma za kibenki....mie nairenki namba 1 kwa mwaka 2018.

Sasahv nikiwa na shida ya milion hata siwaz..nabofya tu in 2 minutes...nimejaaaa
Salary advance ina riba?hebu rudi tuelezee kwa utulivu kabisa
 
Back
Top Bottom