Sh ngapi mkuu?NMB!
Nimeomba business Loan jana Leo nimepata!
ofoso bhana... mimi kilichonifurahisha crdb kutoa huduma mpaka siku ya jmapili. Labda na kutokuwa na foleni ndefu kama wale ndugu zangu wa nmbWale mabinti warembo wananimaliza, najikuta naenda benki kila nipatapo fedha
Duh!Wale mabinti warembo wananimaliza, najikuta naenda benki kila nipatapo fedha
Mkuu naomba ufafanuzi wa hizo huduma.Mie nafurahia kale kahuduma kapya ka crdb...kanaitwa salary advance....haki ya nani....ni moja ya huduma bora sana kwangu katika huduma za kibenki....mie nairenki namba 1 kwa mwaka 2018.
Sasahv nikiwa na shida ya milion hata siwaz..nabofya tu in 2 minutes...nimejaaaa
zitaje kama vipi mkuu ili tuwe na shahuku kwa sisi tulio bank nyingineTPB Bank. Hawajawahi kuniangusha. Huduma zao zipo Sana!
Mhmhhhhhh ulivyouliza kwa mishangaoooo !!!!! Kama vile unataka kuomba kiasi kidogo akumegee hahahaSh ngapi mkuu?
Kuweka akiba mara kwa mara na kukopa na kurudisha kwa wakati!! Ni kama bank tu!!Hawa jamaa wanapandisha dau la kukopa kwa kigezo gani?
Kuweka akiba au kukopa na kulipa kwa wakati?
Haswaaaaah ndo lengo [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mhmhhhhhh ulivyouliza kwa mishangaoooo !!!!! Kama vile unataka kuomba kiasi kidogo akumegee hahaha
Salary advance ina riba?hebu rudi tuelezee kwa utulivu kabisaMie nafurahia kale kahuduma kapya ka crdb...kanaitwa salary advance....haki ya nani....ni moja ya huduma bora sana kwangu katika huduma za kibenki....mie nairenki namba 1 kwa mwaka 2018.
Sasahv nikiwa na shida ya milion hata siwaz..nabofya tu in 2 minutes...nimejaaaa