meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
sekta ya afya inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi kwanza.
Nadhani viongozi waliopo hawajawahi kufanya kazi na kupata uzoefu katika mahospitali yetu ndio maana mipango na resources zinazotumika hazileti majibu.
Mleta thread nakushauri uwasilishe matokeo ya utafiti wako kwenye mkutano wa kila mwaka wa 'QUALITY IMPROVEMENT FORUM ,hii ni sehemu ambayo wadau mbalimbali wa maswala ya afya wanakutana na kujadili ni vipi tunaweza kuboresha utoaji wa huduma hasa katika hospitali za umma.