Huduma katika Kituo cha Polisi Oysterbay ziboreshwe

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Utakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara.
Sehemu yenyewe haina
  • Mabenchi ya Kukaa
  • Ni njia ya Vumbi
  • Hakuna Kikinga mvua wala jua.
Wizara ya mambo ya Ndani na Jeshi la polisi, jirekebisheni kwa hili.Mana nawaza kama Oysterbay kituo kikubwa hali ni hivyo, he huko kwengine je ?.
 
Screenshot_20220810-025045_Facebook.jpg
 
Mkuu....
Kweli jengo la kituo cha Oysterbay ni zuri,tena sana....
Ni limesanifiwa Uingereza....
Ila,licha ya uzuri wake....wanakosaje sehemu ya watu kukaa na kusubiri huduma,hata huduma ya vyoo hamna.

Polisi ni taasisi ya umma,ipo kuhudumia jamii.Ifike kipindi tuachane na zile sera za zamani za kutaka Majeshi kuogopeka kama miungu.
Waweke mazingira rafiki.
 
Ukienda office za JKT,UHAMIAJI na TPDF......huko kote wana sehemu za kupumzikia na hadi vyoo...
Na hao pia ni forces,ila hawana ushamba wa police.
Mkuu,
Pale sio sehemu ya kukaa ndio maana wamefanya vile kwa ajili ya usalama ukiwekewa mabench pale sio hospital au kanisani ama msikitin mkuu 😊
 
Utakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara.
Sehemu yenyewe haina
  • Mabenchi ya Kukaa
  • Ni njia ya Vumbi
  • Hakuna Kikinga mvua wala jua.
Wizara ya mambo ya Ndani na Jeshi la polisi, jirekebisheni kwa hili.Mana nawaza kama Oysterbay kituo kikubwa hali ni hivyo, he huko kwengine je ?.
Mleta mada wewe kiboko wakati Wengine wanatii Sheria Bila shuruti na hakuna kitu wanakiogopa kama kituo Cha polisi hatari na Wanaongea wazi ukitaka kulalamikia mapokezi au miundombinu ya mapokezi mazuri lalamikia ya Hospital za serikali wewe unalalamikia reception na miundombinu ya kuelejea kituo Cha polisi. wewe kweli hard core criminal

Polisi poleni Kwa kazi nzito mnafanya aiseee
 
Well
Mi kila nilienda kazini lazima nipite pale na ninaona adha ambayo raia wenzangu wanapitia....
Na isitoshe why niogope kituo kama vile Jahanam....
Mbona ofisi za JKT na JWTZ zina mazingira rafiki....
 
Mkuu,
Pale sio sehemu ya kukaa ndio maana wamefanya vile kwa ajili ya usalama ukiwekewa mabench pale sio hospital au kanisani ama msikitin mkuu 😊
Ukitaka kwenda kufuatilia kesi,dhamana,,,,unaweza subirishwa hata masaa 3,,ukiwa upo barabarani....
Kwanini wasitumie mfumo wa Mloganzila, Wamejenga banda la kusubiria mbali na jengo la hospitali.
 
Well
Mi kila nilienda kazini lazima nipite pale na ninaona adha ambayo raia wenzangu wanapitia....
Na isitoshe why niogope kituo kama vile Jahanam....
Mbona ofisi za JKT na JWTZ zina mazingira rafiki....
RaIa na kituo Cha polisi wapi na wapi naona unachanganya masomo ya kijeshi ya kijeshi ya JKT , JWtZ na polisi
 
Back
Top Bottom