Huduma katika Kituo cha Polisi Oysterbay ziboreshwe

Huduma katika Kituo cha Polisi Oysterbay ziboreshwe

RaIa na kituo Cha polisi wapi na wapi naona unachanganya masomo ya kijeshi ya kijeshi ya JKT , JWtZ na polisi
Kutii sheria bila shuruti, ina kuhusiana vipi na kuwekea watu sehemu ya kukaa na kusubiria huduma....

Yani watu wakakae kwenye jua kali eti kisa wanasubiria huduma ya polisi, hizo ni itikadi za Kikoloni....
 
Upande wa pili wa barbara siyo kituo tena...

Kuna ubalozi wa Marekani, Kuna Msasani Mall ya GSM, Kuna vilinge vya mgahawa...


Cc: Mahondaw
Upande wa pili kuna
  • Mgahawa
  • Vibanda vya huduma ya loss report
  • Kuna wauza majiko ya nyama choma
  • Njia ya kwenda ofisi ya Diwani wa Msasani/Njia ya Mafret
  • Watu hukaa nje ya mgahawa kwenye vumbi,au husimama
Ubalozi na GSM ni viko mbali
Ndani ya kituo na nje,hawaruhusu kabisa kukaa, wanakwambia kasubirie upande wa pili wa barabara.
 
Back
Top Bottom