greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Sasa kama jambo dogo kama hilo mnafeli, Je ,mtaweza kuwajali waleta taarifa za uhalifu....?Mkuu
Tumeiacha ivyo makusudi ili ukipelekwa huko usitaman kurudi sawa..
Sasa kama jambo dogo kama hilo mnafeli, Je ,mtaweza kuwajali waleta taarifa za uhalifu....?
Mkuu....
Unalenga Nyumba nzuri lakini choo hakuna....
Yusuf manjiUnalenga Nyumba nzuri lakini choo hakuna....
Na hilo jengo ashukuliwe Billionea wa Yanga.
Yessss....Yusuf manji
Ukienda office za JKT,UHAMIAJI na TPDF......huko kote wana sehemu za kupumzikia na hadi vyoo...Ushaambiwa police force
Siyo police service mzee
Ova
Mkuu,Ukienda office za JKT,UHAMIAJI na TPDF......huko kote wana sehemu za kupumzikia na hadi vyoo...
Na hao pia ni forces,ila hawana ushamba wa police.
Mleta mada wewe kiboko wakati Wengine wanatii Sheria Bila shuruti na hakuna kitu wanakiogopa kama kituo Cha polisi hatari na Wanaongea wazi ukitaka kulalamikia mapokezi au miundombinu ya mapokezi mazuri lalamikia ya Hospital za serikali wewe unalalamikia reception na miundombinu ya kuelejea kituo Cha polisi. wewe kweli hard core criminalUtakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara.
Sehemu yenyewe haina
Wizara ya mambo ya Ndani na Jeshi la polisi, jirekebisheni kwa hili.Mana nawaza kama Oysterbay kituo kikubwa hali ni hivyo, he huko kwengine je ?.
- Mabenchi ya Kukaa
- Ni njia ya Vumbi
- Hakuna Kikinga mvua wala jua.
WellMleta mada wewe kiboko wakati Wengine wanatii Sheria Bila shuruti na hakuna kitu wanakiogopa kama kituo Cha polisi hatari na Wanaongea wazi ukitaka kulalamikia mapokezi au miundombinu ya mapokezi mazuri lalamikia ya Hospital za serikali wewe unalalamikia reception na miundombinu ya kuelejea kituo Cha polisi. wewe kweli hard core criminal
Polisi poleni Kwa kazi nzito mnafanya aiseee
Ukitaka kwenda kufuatilia kesi,dhamana,,,,unaweza subirishwa hata masaa 3,,ukiwa upo barabarani....Mkuu,
Pale sio sehemu ya kukaa ndio maana wamefanya vile kwa ajili ya usalama ukiwekewa mabench pale sio hospital au kanisani ama msikitin mkuu 😊
RaIa na kituo Cha polisi wapi na wapi naona unachanganya masomo ya kijeshi ya kijeshi ya JKT , JWtZ na polisiWell
Mi kila nilienda kazini lazima nipite pale na ninaona adha ambayo raia wenzangu wanapitia....
Na isitoshe why niogope kituo kama vile Jahanam....
Mbona ofisi za JKT na JWTZ zina mazingira rafiki....