Itakua kuna pahala hapako sawa Ndiomana mtoa mada anashauri hivo
Kutii sheria bila shuruti, ina kuhusiana vipi na kuwekea watu sehemu ya kukaa na kusubiria huduma....RaIa na kituo Cha polisi wapi na wapi naona unachanganya masomo ya kijeshi ya kijeshi ya JKT , JWtZ na polisi
Jengo la Kituo ni zuri kweli kweli....ila walishindwaje weka sehemu ya watu kukaa....
Upande wa pili kunaUpande wa pili wa barbara siyo kituo tena...
Kuna ubalozi wa Marekani, Kuna Msasani Mall ya GSM, Kuna vilinge vya mgahawa...
Cc: Mahondaw