Huduma katika Uwanja wa Ndege wa JNIA-Dar es Salaam.

Huduma katika Uwanja wa Ndege wa JNIA-Dar es Salaam.

kirema

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
42
Reaction score
12
Ndugu wanajamvi

Napenda kuwasilisha hali ninayoiona hapa airport kwa kweli si nzuri,

Huduma Za matangazo si nzuri-Spika Za matangazo hazitoi Sauti,hata ndege ilichelewa au kutua huwezi kusikia vizuri,no

Buoy ni vichafu,hakuna vitendendea kazi,sabuni hakuna nk

Viti vya kupumzikia hakuna vya kutosha ,abiria wengine hawapati mahali pa kukaa wakati wanasubiria ndege

Matoroli karibu yote ya kubebea mabegi na ya kubebea wasiojiweza ni mabovu

Parking Za magari hazitoshi na kuna usumbufu mkubwa toka kwa security walioko kwenye parking.

Baadhi ya maeneo kwa usalama si mazuri (Seft)naamini kuna siku mtu atabunjika mguu hapa au kukatwa na bati

Wi-Fi Hakuna ya uhakika .

Kwa upande wa customer service toka kwa wahudumu na wafanyakazi wa uwanja ni poor/mbaya naona wageni wanauliza hata majibu wanayopata ni mabovu-Passenger are given orders here and not services.

Naomba mamlaka ya viwanja vya ndege waache kupoteza muda washughulikie Haya mambo haraka ni aibu sana kuita kiwanja hiki chenye heahima ya mwasisi wa Taifa hili International Airport kwa hali hii mbaya ya huduma na vitendea kazi.

Nawasilisha
 
Seft [emoji28]
wamekusikia wahusika.

Rubiikimimi[emoji85]
 
Viti kuwa vichache ni kero ambayo mwenyewe sijailenda kabisa na mashine zao za kuchukua kadi wakat wa kutoka na gari......mara kwa mara unakuta mbovu,

Halafu wamepandsha charge....badala ya elfu1 ss hiv elfu2, ss hizo sijui zinafanyaga kazi gani.
 
Wakajifunze Kigali au OR Tambo kwa kweli tunasikitisha na ukiangalia na mandege makubwa makubwa ndio yanatua dar kwa ajili ya watalii na kunywa mafuta. Uzalendo SIFURI kabisa
 
Back
Top Bottom