mtaalam wa maandishi
New Member
- Aug 4, 2026
- 1
- 0
Mambo vipi wana-JF,
Kama unatafuta mtu wa kukusaidia kazi za kuandika, kutafsiri, au kutengeneza CV na Cover Letters za kisasa kabisa, upo sehemu sahihi. Ninafanya kazi hizi kwa umakini mkubwa, haraka, na kwa bei nafuu sana inayozungumzika.
Hizi ndio huduma ninazotoa:
Kama una kazi yoyote inayohitaji kufanyika kwa ufasaha, tafadhali bonyeza jina langu kisha nitumie ujumbe (DM) hapa hapa JamiiForums. Nipo online wakati wote na nitakujibu mara moja.
Karibuni sana tuchape kazi

- Uandishi wa CV na Cover Letters: Nakutengenezea CV nzuri na ya kisasa (Resume) pamoja na barua ya kuombea kazi zinazovutia waajiri.
- Kutafsiri (Translation): Natafsiri maandishi yoyote kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili au Kiswahili kwenda Kiingereza (Ripoti, Vitabu, Makala, au documents za kiofisi).
- Kuandika Makala na Content: Kama una blogu, website, au kurasa za mitandao ya kijamii na unahitaji maandishi mazuri ya kuvutia wateja/wasomaji.
- Kuhariri na Kusahihisha (Editing): Kupitia kazi yako uliyokwishaandika ili kurekebisha makosa ya kisarufi na kuifanya ionekane ya kitaalamu zaidi.
- Mawasiliano: Ili mambo yetu yaende vizuri na kwa urahisi, mawasiliano yote yatakuwa hapa hapa JamiiForums kupitia DM (Private Message).
- Malipo: Malipo yote yatafanyika kwa njia ya M-Pesa.
- Utaratibu: Kazi ikianza utalipia kiasi kidogo tu cha kuanzia (20% hadi 30% ya jumla ya gharama). Nikimaliza kazi, nitakutumia ikiwa kwenye Locked PDF uikague. Ukijiridhisha kuwa kila kitu kiko sawa, unamalizia malipo yaliyobaki kisha nakupa password ya kufungua file lako.