A
Anonymous
Guest
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea kwa taasisi karibia zote za serikali kuweka namba geresha na wala hazitumiki katika kuwafikia watoa huduma wao.
Hii ni sehemu muhimu sana kupima utendaji kazi wa taasisi lakini SERIKALI IMELIPOTEZEA NA BADALA YAKE WATU WANAKAA TU MAOFISINI KUMBE MAWASILIANO WALIYOWEKA NI FAKE
NA Kama namba zimepotea kwanini wasiwe wanahuisha upya taarifa zao katika majukwaa ya kimtandao.
INAUMIZA SANA MTU ASAFIRI MIKOA KADHAA KUULIZA KWANINI NAMBA YA FORM FOUR INAGOMA KUWA VERIFIED, KWELI?