Mbona hii ni common sana. Labda wewe siyo mwendaji wa hospital mara kwa mara.Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi.
Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali.
Nimeshindwa kupatiwa huduma.
Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa.
Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema
Naambiwa nisubiri na hawana uhakika mtandao unarudi saa ngapi.
Maafisa wa bima hawatoi majibu ya kuridhisha. Lundo la watu hapa. Wamekosa huduma ili hali ni haki yao kupatiwa huduma.
Pole madamNimekaa hapo adi nimechoka nimelipa cash bila kupenda
Tafuta hela kenge weweNimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi.
Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali.
Nimeshindwa kupatiwa huduma.
Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa.
Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema
Naambiwa nisubiri na hawana uhakika mtandao unarudi saa ngapi.
Maafisa wa bima hawatoi majibu ya kuridhisha. Lundo la watu hapa. Wamekosa huduma ili hali ni haki yao kupatiwa huduma.
Ni kweli mkuu. Nikwambie kitu. Tusikae kimya, nina siku nne maji hayajatoka haya ya Dawasa. Umeme kuzima bila taarifa ni kawaida. Bado hatujafikia kiwango cha kutoa huduma za kuridhisha. Juzi TRA kuchukua TIN ilikuwa ishu. Watu hawajali kuhudumia watu ipasavyoMbona hii ni common sana. Labda wewe siyo mwendaji wa hospital mara kwa mara.
Tanzania imeoza hii. Magufuli alizikwa na kila kitu