A
Anonymous
Guest
Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu.
Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua na customer care nzuri, just imagine mtu unashida ya kuextend au kucancel safari mhudumu anakujibu majibu mawili anakaa kimya. Hapo wewe mpaka umbembeleze kwelikweli ndio akurefer kwa mwingine yaani kama hataki kukuhudumia.
Lakini pia kuna wakati foleni ni kubwa some ticketing office hazina watoa huduma so it's bit complicated hakuna flow nzuri ya utaratibu. I'm just curious hii ni mwanzo hivi how about 10 year ahead?