KERO Huduma Mbovu za Magari ya NEW BEST LINE, ruti ya Tarime - Dar es Salaam

KERO Huduma Mbovu za Magari ya NEW BEST LINE, ruti ya Tarime - Dar es Salaam

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
HAWA JAMANAA WANA HUDUMA MBOVU 🤮🤮🤮 ..

NIMELIPIA BUS LUXURY VIP NAULI 85,000 KUTOKA BARIADI KWENDA DAR, BUS IMEFIKA IMECHELEWA, KUINGIA NDANI KUNA JOTO AC HAWAWASHI .. VUMBI NJIANI MTU UMETOKA MZIMA UNAFIKA NA MAFUA ..

UKIULIZA KWANINI HAMUWASHI AC, UNAJIBIWA ITAWASHWA .. NA SASA TUMEFIKA SINGIDA HAKUNA AC WALA MAJI ..

KWELI LATRA WANASIMAMIA HUDUMA ZA ABIRIA KWA STYLE HII AU ILIMRADI TU ..

PXL_20260330_181551176.jpg

PXL_20260330_181512853.NIGHT.jpg
 
Hao jamaa ni balaa, nilikata tiketi ya 95k kutoka dar kwenda tarime, muda wa safari ulivofika wakaleta gari ya 85k, nilivouliza nkaambiwa dakika za mwisho mafundi wao walisema gari haiko sawa kwaio haiwezi kusafiri, nikaomba kurufishiwa kilichozidi, wakasema wanasubiri gari ikianza safari abiria wametulia, watarejesha kwa abiria wote waliokuwa wamekata nauli ya 95, hadi tunafika tarime bila bila, kuuliza naambiwa nilikata tiketi online kwaio niingie online nchukue namba nipige kuomba refund.
 
Back
Top Bottom