Hao jamaa ni balaa, nilikata tiketi ya 95k kutoka dar kwenda tarime, muda wa safari ulivofika wakaleta gari ya 85k, nilivouliza nkaambiwa dakika za mwisho mafundi wao walisema gari haiko sawa kwaio haiwezi kusafiri, nikaomba kurufishiwa kilichozidi, wakasema wanasubiri gari ikianza safari abiria wametulia, watarejesha kwa abiria wote waliokuwa wamekata nauli ya 95, hadi tunafika tarime bila bila, kuuliza naambiwa nilikata tiketi online kwaio niingie online nchukue namba nipige kuomba refund.