Kwa wale wanaoishi mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, tunawaletea huduma mpya!
Ewe ndugu uliye katika ndoa (mume ama mke) tunakupa huduma ya kuja kukukamata mbele ya mwenzi wako siku ya Ijumaa na kukuachia siku ya Jtatu.
Usiogope, tunakuja tukiwa na uniform full na defender yetu.
Ukihitaji huduma njoo pm...