NSSF ingekuwa wanafanya biashara basi ingekuwa rahisi sana kupoteza wateja kutokana na uduni wa huduma zao.
Ktk kipindi hiki cha matumizi ya teknolojia bado huduma zao ziko duni,je miaka 10 iliyopita hali ilikuwaje?
Inawezekana wengi wasielewe hili maana michango hupelekwa na waajiri hivyo kwa mwajiriwa huna muda nao,lakini inapofika wakati unafuatilia madai yako ndo utajuwa kuwa NSSF ni kina nani.
Sipendi kuona mtu anapohtaji huduma ktk ofisi fulani lazma umuone mtu ktk hyo ofisi ili muongee pembeni ndo upate huduma. Naomba wana JF mfanye uchunguz juu ya hili mtabaini ukweli!.
Kuna pia tuhuma juu yao kuhusiana na namna wanavyoajiri, kwani dini ya mtu ina msaada gani kwenye suala lisilo la kdni?
Wanachama siyo wa dini fulani tu kwa nn kwenye ajila wafanye ubaguz?
Hii inanitia hofu kuwa itafika mahali watu wa dini fulani ndo wa kuhudumiwa kwanza.
Nilikuwa siamini sana kwamba WaKenya wanajituma kuliko watanzania, naona hii taasisi kubwa inaweza kuwa ni mfano mzuri.
NSSF ifike mahali wafanye km yaliyofanyika NHC labda kunaweza kuwa na umakini na uwajbkaji.
Naomba kuwasilisha!