Mwenye Ujuzi Namuomba anifahamishe.
Hivi unapofungua Account ya Paypal,wanakutaka ujaze no.ya credit card(mi ya kwangu CRDB Master Card) je unatakiwa ujaze Card number au Account number?
Ndugu,unatakiwa uchague aina ya kadi (MasterCard or Visa). Pia unatakiwa,uweke card #,expiry date ya card,pamoja na tarakimu 3 zilizopo nyuma ka card yako.
Mwenye Ujuzi Namuomba anifahamishe.
Hivi unapofungua Account ya Paypal,wanakutaka ujaze no.ya credit card(mi ya kwangu CRDB Master Card) je unatakiwa ujaze Card number au Account number?