Huduma nzuri ya Paypal kwa wanaofahamu na wasiofahamu inawahusu

Huduma nzuri ya Paypal kwa wanaofahamu na wasiofahamu inawahusu

Abdallah404

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
61
Reaction score
21
Mwenye Ujuzi Namuomba anifahamishe.
Hivi unapofungua Account ya Paypal,wanakutaka ujaze no.ya credit card(mi ya kwangu CRDB Master Card) je unatakiwa ujaze Card number au Account number?
 
Ndugu,unatakiwa uchague aina ya kadi (MasterCard or Visa). Pia unatakiwa,uweke card #,expiry date ya card,pamoja na tarakimu 3 zilizopo nyuma ka card yako.
 
Ni kama unavonunua kitu chochote online, unajaza CARD NUMBER!
 
Back
Top Bottom