Huduma ya Airtel Money inasumbua, ukipiga huduma kwa wateja mtandao haupatikani

Huduma ya Airtel Money inasumbua, ukipiga huduma kwa wateja mtandao haupatikani

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Yaani huduma za Airtel money ni shida Ukipiga huduma kwa wateja network haipatikani Ikipatikana simu haipokelewi. Ingekuwa nchi nyingine hawa jamaa wangepigwa failing kubwa sana. Lakini tunamshukuru mkurugenzi Mkuu wa airtel kwa kutukomesha siku ya leo.
 
Airtel unaweza wapigia mpaka ukakoma 😂😂 kuna siku nilishinda siku nzima nawapigia niliteseka
 
Airtel unaweza wapigia mpaka ukakoma [emoji23][emoji23] kuna siku nilishinda siku nzima nawapigia niliteseka
Katika mitandao yote,airtel inaongiza kwa ubovu hasa huduma kwa wateja ni zeeeeeeeeroooooo
 
Kumbe sio peke yangu
Mtandao wa airtel leo unasumbua sana kuanzia kupiga simu adi huduma ya internet,
 
Na mimi nimehangaika sana leo sijui wanashida gani hawa ,mtandao wao unasumbua balaa
 
IMG-20230122-WA0007.jpg
 
Hamna kitu leo, hata ukifungua data ni zero kabisa.
 
Back
Top Bottom