Yaani huduma za Airtel money ni shida Ukipiga huduma kwa wateja network haipatikani Ikipatikana simu haipokelewi. Ingekuwa nchi nyingine hawa jamaa wangepigwa failing kubwa sana. Lakini tunamshukuru mkurugenzi Mkuu wa airtel kwa kutukomesha siku ya leo.