Sitakuwa na maneno Mengi! Hii ni ile huduma ya bank mkononi!
Nilivyotaka kujiunga kale ka kahudumu ka benki kaliunganisha fasta fasta kwa bashasha! Kumbe wanajua inavyowalipa vizuri huduma hiyo!
Nilifurahi sana kuunganisha bank mkononi ili kuepusha usumbufu wa kwenda bank/ATM.
Lakini asikwambie mtu huduma hii inafyeka pesa balaa! Chochote ukikifanya kinalamba pesa kama upepo!
Kiukweli huduma hii inamakato mengi kama Bamedi asorudisha chenji! Ni kama unakula nao sahani moja, ukituma buku nao wanakula buku!
Najuta sana kujiunga!