Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

Watu wengine huwa mna complicate maisha hadi mnakufa na pressure zisizo na sababu. Unataka risiti ya mia.

Ukiulizwa unaipeleka wapi hiyo risiti hujui, au unarudishiwa kazini hela yako ukinya stendi?

Watu wengine mnajitesa sana. Hiyo serekali unayoitetea ndio hii ya kununua ma land cruiser LC300 kwa kila ofisa wa serekali? Hiyo mia unayolalamikia risiti ni bora umuachie huyo babu mlinzi hapo anaesafisha hicho choo kuliko kuipeleka serekalini ili wakamlipie Steve Nyerere kwenda Dubai kwenye msafara we jamaa

Unajiumiza bila hata sababu yaani. We upo kama mke wangu wewe kitu kidogo unakichukulia uzito hadi unakonda. Mke wangu mtu akiandika tu jina lake akasahau kuweka hata kale ka nukta juu ya i atalalamika wiki nzima!
 
Hata nilipohoji nipewe risiti walinambia mashine imeharibika ndo inatengenezwa. Hii Sio Sawa ni bora mtoe huduma bure Hadi hiyo mashine ya risiti itakapokuwa tayali
Ukiona hawana risiti, nenda kajisaidie ambapo wana hio huduma ya risiti.

Acha GUBU Mkuu, umeambiwa machine ya receipt imeharibika bado unaendelea kulilia.

Be a Man.
 
Habari jana nikiwa ferry Kigamboni nililipia huduma ya Choo bila kupewa risiti
Hii imekaaje malipo ya huduma hii hawatoi risiti?
Huu ni uvuvaji wa mapato liangalieni hili.
Hata nilipohoji nipewe risiti walinambia mashine imeharibika ndo inatengenezwa. Hii Sio Sawa ni bora mtoe huduma bure Hadi hiyo mashine ya risiti itakapokuwa tayali
Naomba kuwasilisha
Kama hawatoi risiti usinge kitumia choo

Ova
 
Back
Top Bottom