Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

Halotel wamekata huduma hio. Wengi wanalalamika sana kusababishiwa hasara kwa kitendo hicho
Huo ni uhuni UnawezAje kuuza huduma ambayo baada ya kukusanywa hela unawakatia wateka wako? Kama haikuwa biashara haramu nawashauri wafungue hata malalamiko kwenye vyombo husika
 
Huo ni uhuni UnawezAje kuuza huduma ambayo baada ya kukusanywa hela unawakatia wateka wako? Kama haikuwa biashara haramu nawashauri wafungue hata malalamiko kwenye vyombo husika
Wamerudisha ela kwa waliokuwa hwajatumia kabisa . Huduma hiyo wametoa
 
Wamerudisha ela kwa waliokuwa hwajatumia kabisa . Huduma hiyo wametoa
Hapa sasa mbona ni maumivu?

Angalia gharama kwa mwezi

Elfu 10 GB NNE?
Screenshot_20260227-233222.png
 
Hii laini nilikuwa nimeichukua mbili na zilikuwa hazijaanza kazi 40,000 yote nimerudishiw Jana . Nliwasiliana na halotel wakasema vidurushi vya ofa sasa huwezi kushea na mtu .
Alternative tunafanyaje kwa Sababu gharama zipo juu MB chache
 
Back
Top Bottom