Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 348
- 303
Nimepiga lakini maelezo hayajitosheleziUliko pata hizo MB wapigie wakueleze
Kunamtu huwa ananiuzaga ila maravnying usiku saa 6 ndo anatuma ansemaga mchana ni changamoto
Mimi laini ninayo na MB ninazo huwa na share na mtu mwengine ila ndo nimejaribu leo inakataaKunamtu huwa ananiuzaga ila maravnying usiku saa 6 ndo anatuma ansemaga mchana ni changamoto
PoleMimi laini ninayo na MB ninazo huwa na share na mtu mwengine ila ndo nimejaribu leo inakataa
Huo ni uhuni UnawezAje kuuza huduma ambayo baada ya kukusanywa hela unawakatia wateka wako? Kama haikuwa biashara haramu nawashauri wafungue hata malalamiko kwenye vyombo husikaHalotel wamekata huduma hio. Wengi wanalalamika sana kusababishiwa hasara kwa kitendo hicho
Wamerudisha ela kwa waliokuwa hwajatumia kabisa . Huduma hiyo wametoaHuo ni uhuni UnawezAje kuuza huduma ambayo baada ya kukusanywa hela unawakatia wateka wako? Kama haikuwa biashara haramu nawashauri wafungue hata malalamiko kwenye vyombo husika
Hapa sasa mbona ni maumivu?Wamerudisha ela kwa waliokuwa hwajatumia kabisa . Huduma hiyo wametoa
Hii laini nilikuwa nimeichukua mbili na zilikuwa hazijaanza kazi 40,000 yote nimerudishiw Jana . Nliwasiliana na halotel wakasema vidurushi vya ofa sasa huwezi kushea na mtu .
Serikali imewachimba mkwara halotel? Baada ya mitandao mingine kulalamika?Wamerudisha ela kwa waliokuwa hwajatumia kabisa . Huduma hiyo wametoa
Alternative tunafanyaje kwa Sababu gharama zipo juu MB chacheHii laini nilikuwa nimeichukua mbili na zilikuwa hazijaanza kazi 40,000 yote nimerudishiw Jana . Nliwasiliana na halotel wakasema vidurushi vya ofa sasa huwezi kushea na mtu .
Hii shida imeanza lin?Alternative tunafanyaje kwa Sababu gharama zipo juu MB chache
Hii shida imeanza lin?
Asante bossPole
Imeshafungiwa bossBei zako zikojee
Hasara kubwa imagine mtu Ana GB 210 kwa mwezi anazipeleka wapiHalotel wamekata huduma hio. Wengi wanalalamika sana kusababishiwa hasara kwa kitendo hicho