Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 348
- 303
- Thread starter
-
- #21
πππHuo ni uhuni UnawezAje kuuza huduma ambayo baada ya kukusanywa hela unawakatia wateka wako? Kama haikuwa biashara haramu nawashauri wafungue hata malalamiko kwenye vyombo husika
Wanarudisha hela ya usajili au Bando ulilolonunua kwa ajili ya ku-shareHii laini nilikuwa nimeichukua mbili na zilikuwa hazijaanza kazi 40,000 yote nimerudishiw Jana . Nliwasiliana na halotel wakasema vidurushi vya ofa sasa huwezi kushea na mtu .
HalotelUnatumia aina gani ya line?
Corporate au business?Halotel
BusinessCorporate au business?
Nishapoa boss
UpiHALOTEL wamefanya tena huo ushenzi
Ni huzuniHALOTEL wamefanya tena huo ushenzi
Vipi laini za M2M nazo hazikubali kushare MB? Maana nipo nayo hapa vifurushi vyake angalau vizuri siitumii sana sababu nina unlimited ya Airtel..HALOTEL wamefanya tena huo ushenzi
Niuzie hiioVipi laini za M2M nazo hazikubali kushare MB? Maana nipo nayo hapa vifurushi vyake angalau vizuri siitumii sana sababu nina unlimited ya Airtel..