Huduma ya jeshi la polisi ya kuripoti mali iliyopotea (lormis) mbona haifanyi kazi?

Huduma ya jeshi la polisi ya kuripoti mali iliyopotea (lormis) mbona haifanyi kazi?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Baada ya kusajili mali iliyopotea nimetumiwa control number nifanye malipo ya usajili lakini kila nikijaribu kulipa inasema control number ni batili.

Nimepiga simu makao makuu nikaambiwa niende kituo cha polisi kilicho kariba. Nimefika huko nako sikupata ufumbuzi!

Nimeambiwa labia mtandao upon clinical nijaribu tena.

Leo ni siku ya nne sijafanikiwa.
 
Baada ya kusajili mali iliyopotea nimetumiwa control number nifanye malipo ya usajili lakini kila nikijaribu kulipa inasema control number ni batili. Nimepiga simu makao makuu nikaambiwa niende kituo cha polisi kilicho kariba. Nimefika huko nako sikupata ufumbuzi!! Nimeambiwa labia mtandao upon clinical nijaribu tena. Leo ni siku ya nne sijafanikiwa.
Tumia mfumo wa Bank ya NMB moja kwa moja.
Upande wa simu kunachangamoto kwenye malipo ya serikali
 
Back
Top Bottom