Huduma ya kiroho

Huduma ya kiroho

pastor wa JF

Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
34
Reaction score
33
Napenda kujitambulisha kwa kila mwana Jf kuwa sasa utapata huduma ya maombezi na ushauri kupitia Pm, huduma hii itakuwa bure hivyo kama unashida ya kiroho na kimwili usisite kuja pm ili upate maombezi bure kabisa.

NB: Nmekuwa nikipita kusoma bila kuregister nikagundua kuna watu wengi humu wanakosa huduma muhimu kama hii,sasa in wakati Wa Mungu kufanya jambo maishani mwako,

Kama umenielewa type AMEN
 
Kawoli naomba namba za admin wa dini nataka kujiunga huko
 
Amen!! Naomba mtumishi unisaidie. Ubatizo wa kweli ni upi ufanyike namna gani na wapi? Na nini faida ya ubatizo kwa mkristo
 
Amen!! Naomba mtumishi unisaidie. Ubatizo wa kweli ni upi ufanyike namna gani na wapi? Na nini faida ya ubatizo kwa mkristo
Sawa,
Kumbuka nmesema ni huduma ya kiroho, sio huduma ya dini,sababu dini ndizo zinazoshabikia hizo habari
 
Mungu aendelee kuwatia nguvu wale wote mnaoendelea kuwasiliana na Mimi, ni wakati wa kuclaim haki zetu zilizokanyagwa na nguvu za giza, na ni wakati mioyo yetu kukumbuka kuwa kuna maisha baada ya kufa. Muwe na usiku mwema
 
Back
Top Bottom