pastor wa JF
Member
- Jan 17, 2018
- 34
- 33
Barikiwa sana, hilo jukwaa nilikuwa silijuiAmeni. Ila Kuna jukwaa la dini pastor. Kule kuna watu hawamtaki kabisa MUNGU. Hebu anzia kule kwanza kukemea pepo chafuzi
Asante nduguKaribu sana JF mjukuu wetu hapa gt.
Sawa,Amen!! Naomba mtumishi unisaidie. Ubatizo wa kweli ni upi ufanyike namna gani na wapi? Na nini faida ya ubatizo kwa mkristo