Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Wewe unahitaji Board Resolution inayohusu nini? Toa maelezo usaidiwehabari zenu wanaJF
Naomba kwa anayejua gharama wanazochaji wanasheria kuandika resolution za makampuni anijuze tafadhali.
nataka ya kubadili jina la kampuni.