huduma ya kisheria

huduma ya kisheria

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
habari zenu wanaJF
Naomba kwa anayejua gharama wanazochaji wanasheria kuandika resolution za makampuni anijuze tafadhali.
 
nataka ya kubadili jina la kampuni.

Hii inabidi iwe special resolution kwa mujibu wa kifungu namba 31 (1) cha sheria ya makampuni.
But kwa nini mnabadili jina? Kama unahitaji msaada wa suala hili basi nitumie information hizi kwenye inbox yangu, nitakusaidia bure, but gharama ya BRELA ni Tsh. 15,000/=.
1. Jina la kampuni linalotumika sasa, na jina jipya la kampuni mnalotaka kulitumia
2. Kikao cha Board kilifanyika lini, wapi na tarehe ngapi? Waliohudhuria, pamoja na mambo mliyokubaliana
Uwe huru kutumia fictitious names (for security reasons) halafu utaedit nikishakutumia.
 
mkuu nashukuru kwa utayari wako katika kunisaidia,lakini nashukuru kukuarifu kuwa nimeshapata mtu mwingine na tayari kazi imeanza.
 
JF ni zaidi ya msaada. Yaani jamaa wanajitolea kufanya kazi bure kabisa! Hii ni kali.
 
Back
Top Bottom