INAUZWA Huduma ya kusafisha kisima cha maji

INAUZWA Huduma ya kusafisha kisima cha maji

EVIGT

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
526
Reaction score
415
Habari JF members.

Ikiwa unamiliki kisima cha borehole na kina dalili zifuatavyo basi tambua kuwa wakati wa kukisafisha umefika;

1. Kisima kilichopunguza uwezo wa kutoka maji.
2. Maji yamebadilika rangi,.
3. Maji yanatoka na matope au michanga Kwa wingi.
4. Maji yamebadilika Radha.
5 . Maji yanaharufu mbaya.
6. Kisima kisichotumika muda mrefu.
7. Kisima kinacho haribu pampu ya maji mara Kwa mara.

Njia inayotumiaka hapa ni mechanical cleaning ambapo air compressor inatumika kupuliza au kunyonya uchafu ndani ya kisima Kwa muda usiopungua nusu saa. Kwa kutumbukiza pipe hadi chini ya kisima.

Tunatoa huduma hii Kwa kuanzia Tshs 150k hadi 200k Kwa DSM kulingana na urefu na upana wa kisima.
Kwa mikoani gharama ni maelewano.
Tukisafisha kisima YouTube
+255 759 126081
 
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom