Wakuu nimekula mayai ya kienyeji nimetosheka, sasa nahitaji niyabadili kuwa vifaranga ili nifuge kuku.
Naomba anaetoa huduma tajwa hapo juu kwa Dodoma anijulishe nimletee mayai anitotoleshee. Ahsante.