Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
assume jamii forums ikaanzisha huduma ya pm _pesa. wanaume wote humu si mngefunga pm zenu? maana hizo pm za pmpesa me zingekoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ukitongozwa unafunga pm?Hahaha miss bwana ngoja waje
Aisee
jamani tuanzisheni vicoba au duka la vipodoziHahaha miss bwana ngoja waje
Wazo Lako Limeangukia Long Week End Sijui Una malengo Gan Aitheeassume jamii forums ikaanzisha huduma ya pm _pesa. wanaume wote humu si mngefunga pm zenu? maana hizo pm za pmpesa me zingekoma.
jamani tuanzisheni vicoba au duka la vipodozi
bora umekuja maana nawatafuta wanawake wa jf tuunganehahahah sijui unawazaga nini bibie!
ahahaaa wala nimewaza tu
Tuungane kuupinga umaskini huu kwenye wallet zetu,ngoja tuone kwanza hii proposal yako ya jf-mpesa hahahahahbora umekuja maana nawatafuta wanawake wa jf tuungane
hivi maana ya bae ni nini? kuchati na madogo kazi kweliKibonge mambooo...
Mm ni Ben ten nataka unileee nina Bachela Digriii ya Uchimbaji wa chumvi Uvinza na Nyanza
wewe huwazi pesa?Unawazaga hela wewe kibonge tembo
unadhani nani atakutaka labda
pambana na hali yako tu
hivi maana ya bae ni nini? kuchati na madogo kazi kweli
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]wewe ukitongozwa unafunga pm?
hahahah sijui unawazaga nini bibie!
Hahaha mie nitatunza pesajamani tuanzisheni vicoba au duka la vipodozi
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Yaan Max inabid afuatilie hilo kwa kweli!Miss Natafuta yuko smart sema anapenda kujifanya dish limecheza....ona sasa idea ya JPesa inaweza kuwa nzuri sana